tabibumtaratibu
JF-Expert Member
- May 29, 2011
- 2,414
- 1,215
Asilimia 66% ya watu wanafunga macho wakati wakila denda<romance>french kiss' wote wakike kwa wakiume'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe tuko wengi tu pia!lahaula! mi huwa naangalia khaaaaaaa!
macho ni kila kitu: wanaogopa mate yataingia machoni
hahahahahaaaaa!!!!!u made my day!!!:israel:macho ni kila kitu: wanaogopa mate yataingia machoni
chezea hisia weye
ungesema tendo la "...."hapo ningekuelewa kuwa ni hisia, maana kwenye tendo lenyewe (hisia huwa zaidi ya hio na macho hayafungwi!), iweje vimate na ulimi tu iwe hisia? please kubaliana na mimi kuwa it happens just eyes security na wala si hisia!
hivi nisipo angalia.....nitajuaje vitu vipo wapi.....?
Na wakila azam koni je?Ha,ha,ha,ha,ha,haaaaa wanasinziaaaaaa,sijui wakiiangalia itapungua utam!!!!!!
Asilimia 66% ya watu wanafunga macho wakati wakila denda<romance>french kiss' wote wakike kwa wakiume'
Ni kweli kabisaa, hata sasa mimi nimefunga machoooooooo :rolleyez:
kuna tafiti iliyofanyika hivi karibuni na kusema kuwa,kna uwezekano kuwa mate yanaambukiza ng'weng'we..watch out
Kama kweli unamfeel huyo mtu macho hua yanajifunga yenyewe automatically ili kusikilizia utamu vizuri..:embarrassed: