Je unalijua hili kwenye mapenz?

Je unalijua hili kwenye mapenz?

tabibumtaratibu

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2011
Posts
2,414
Reaction score
1,215
Asilimia 66% ya watu wanafunga macho wakati wakila denda<romance>french kiss' wote wakike kwa wakiume'
 
macho ni kila kitu: wanaogopa mate yataingia machoni
 
wataka tutumbuliane macho...its totaly unromantic
 
hivi nisipo angalia.....nitajuaje vitu vipo wapi.....?
 
chezea hisia weye

ungesema tendo la "...."hapo ningekuelewa kuwa ni hisia, maana kwenye tendo lenyewe (hisia huwa zaidi ya hio na macho hayafungwi!), iweje vimate na ulimi tu iwe hisia? please kubaliana na mimi kuwa it happens just eyes security na wala si hisia!
 
nakubal kukataa
 
Na wakila azam koni je?Ha,ha,ha,ha,ha,haaaaa wanasinziaaaaaa,sijui wakiiangalia itapungua utam!!!!!!
 
Kama kweli unamfeel huyo mtu macho hua yanajifunga yenyewe automatically ili kusikilizia utamu vizuri..:embarrassed:
 
kuna tafiti iliyofanyika hivi karibuni na kusema kuwa,kna uwezekano kuwa mate yanaambukiza ng'weng'we..watch out

Maneno tu hayo, afu mi namwamini house girl wangu bwana, hana ng'weng'we lol
 
Back
Top Bottom