Je, unamfahamu muasisi wa chakula cha "Makange"? Mfahamu Mzee Robert Makange

Je, unamfahamu muasisi wa chakula cha "Makange"? Mfahamu Mzee Robert Makange

ahaaaa embu weka wanapikwaje??jamani makange ya dodoma chako ni chako nouma ya pale Rose garden hata robo hawayafikii nakumbuka nlikula kuku mzima loooo

kuku Mzima wewe Mwenyewe?
 
Nijuavyo mimi, kuku anachomwa kwanza, alafu unamchemsha kidogo ili upate supusupu flani hivi,alafu supu inayopatikana unaiondoa anabaki kuku mkavu,alafu unaandaa nyanya kiasi,kitunguu maji,swaumu,plpl hoho limao,tangawizi,chicken masala,plpl mbuzi na mbogamboga mf kabeji au spinach ila kabeji nzuri zaid ukishaviisha hivyo na kuwa mchananyiko unachukua ile supu sasa unachanganyia humo vinachemka kidogo na ile supu alafu unachukua kuku wako unampiga kidogo kwenye microwave ili pate joto kidogo unamweka kwny sahani alafu ule mchanyiko wsko wa yale makorombwezo unamwagia kwa juu. Waweza serve na kitu chochote iwe ni ugali au chips au wali au mashpotato ni wewe tu.
 
Unamwagia juu ya kuku wengine wanaweza wasinielewe wakamwaga darini
 
Back
Top Bottom