Midadi husababishwa na maforward wanaolembalemba mpira badala ya kufunga moja kwa moja, kwa hiyo inabidi uwasaidie! Ole wake atakayekuwa amekaa mbele yako. Nahisi mashabiki wa Arsenal watakuwa na midadi sana. Nawasilisha!
Sent from my GT-P7500 using Tapatalk 2