je unamidadi????

je unamidadi????

Kemchoo

Member
Joined
May 22, 2012
Posts
20
Reaction score
1
MIDADI husababishwa na nini? Je ushawahi kupata hali hiyo? Any idea.
 
Midadi husababishwa na maforward wanaolembalemba mpira badala ya kufunga moja kwa moja, kwa hiyo inabidi uwasaidie! Ole wake atakayekuwa amekaa mbele yako. Nahisi mashabiki wa Arsenal watakuwa na midadi sana. Nawasilisha!

Sent from my GT-P7500 using Tapatalk 2
 
hahahaa hapo lazima utamani kufunga wewe, midadi mingine hutokea kwenye gari unafunga break wakati gari anaendesha mtu mwingine
 
Back
Top Bottom