[emoji23][emoji23]yupi uyoKuna mitama alimtembezea mchoma mkaa fulani hatarii
Atakuwa kala mtaji wa kiwanda chake cha kuchakata viazi kuwa viepe ndio ulikuwa unampatia papuchi kirahisi siunajua wadada wanavyojirahisisha kwa wachoma chips.NAONA LEO UMEKUMBUKA HATA MPIRA,PAPUCHI ZINAPUMUA HUKO
Huyu jamaa ni beki mzuri tu sema na falsafa ya Mourinho iliwaharibu wengi sana hasa wachezaji wa hispania wachukiane wenyewe kwa wenyewe wakikutana El classico,ukitizama ugomvi mkubwa waliokuwa wanagombana kwa madrid wakikutana na Barcellona ni iker cassillas,Gerad puqué,Sergio Ramos,Xavi hernandez,Andres iniesta,Segio Busquets,Pedro Lodríguez,Victor Valdes(hawa wote ni raia wa hispania waikuwa wanagombana timu zao za vilabu zinapokutana) wageni walikuwa ni Lione Messi,Cristiaano Ronaldo na KéplerFerreira(maarufu PePe).yaani mpira ulikuwa kama vita wakikutana ila baada ya Mou kuondoka Real na Barçellona hawakuwa wakicheza kwa hasira sana.Kuhusu pepe tukio moja alilifanya ni yeye kumkanyanga Messi mkoni kwa makusudi.Messi alikuwa amefanyiwa madhambi,mwamuzi alipuliza firimbi kuashiria mpira usimame,sasa wakati messi yupo chini analalamika akawa ameweka mkono chini,huyu jamaa niliona kama ni gaidi akavikanyaga vidole vya mwenzake kwa kukusudia kabisaa.Tukio lilikuwa linarudiwa kwenye TV mara 3 mwamuzi hakuliona ila ingekuwa kama leo kuna VAR nahisi Pepe angekula umeme japo alishauzoea.Pia kuonesha kwamba huyu jamaa bado ana umuhimu mpaka leo anaitwa timu ya taifa na hafanyi matukio ya uchezaji wa ajabu anatulia kabisa.
Ila Salah ni mlaini mno..hakuna siku ata moja Messi aliwahi kutolewa uwanjani kisa ameumizwa na hao mabeki mnaowaita rohoo mbaya.Mtu mzima hafundishwi kuua, vp Ramos naye kafundishwa na Kocha yupi roho mbaya hadi alimvunja Salah mwaka jana
[emoji848]
Baada ya Mourinho kuondoka Ramos alikuwa hachezi rafu akiwa anakula umeme kila wakati akikutana na Messi [emoji848]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] siku zingine huwa zinapumua kwa shida km rejeta MbovuNAONA LEO UMEKUMBUKA HATA MPIRA,PAPUCHI ZINAPUMUA HUKO
Vipi kuhusu Bonnuci, Barzaglli na Chiellin ?Pepe, Ramos, Vidic, Kompany ni baadhi ya mabeki wachache wa mwisho mwisho ambao kama wewe ni mshambuliaji dhaifu unaweza ukavunjwa mguu mapema tu. Yaani ni wapambanaji haswa.
Siku hizi tuna zama za mabeki walaini laini wanaosajiliwa kwa pesa nyingi kisa tu wanajua kuchezea mpira na kupiga pasi za kuanzisha mashambulizi kama akina Laporte, John Stone.
Hao nao ni watu wa kazi, nawakubali mnoVipi kuhusu Bonnuci, Barzaglli na Chiellin ?
Kuna Nikola Millenkovic pia
LunyunguNi moja kati ya mabeki wakatili sana kuwahi kutokea pale La liga, Alijiunga na club ya Real madrid mnamo mwaka 2007,
Huyu ni moja kati ya mabeki wakatili sana kuwahi kutokea kwenye ulimwengu wa Soko, Mess anamjua, ila el Classico inamjua Zaidi,
Huyu ndie beki aliefanya Kadi nyekundu ionekane Rahisi sana kwa mabeki kwake ni bora Uvunjike mguu, mkono na mgongo kwa pamoja lakini mpira ubaki
Je unakumbuka tukio gani la kikatili kuwahi Kutendwa na huyu beki kisiki, beki mnyama PEPE,
View attachment 1152077
CC Zero IQ
Kale kafupi[emoji23][emoji23]yupi uyo
The list[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Smart guy