Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Ni moja kati ya mabeki wakatili sana kuwahi kutokea pale La liga, Alijiunga na club ya Real madrid mnamo mwaka 2007,
Huyu ni moja kati ya mabeki wakatili sana kuwahi kutokea kwenye ulimwengu wa Soko, Mess anamjua, ila el Classico inamjua Zaidi,
Huyu ndie beki aliefanya Kadi nyekundu ionekane Rahisi sana kwa mabeki kwake ni bora Uvunjike mguu, mkono na mgongo kwa pamoja lakini mpira ubaki
Je unakumbuka tukio gani la kikatili kuwahi Kutendwa na huyu beki kisiki, beki mnyama PEPE,
CC Zero IQ