U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 4,274 Reaction score 9,326 Jul 19, 2025 #1 Uzi Maalumu kumshauri Mzee Warioba. Karibuni wadau Attachments warioba.jpg 181 KB · Views: 35
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 8,681 Reaction score 16,290 Jul 19, 2025 #2 Aendelee kusahihisha pale WANAPOKOSEA waliopo,hatakama hawamsikilizi,itabaki kwenye rekodi.
C chidou JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,170 Reaction score 812 Jul 19, 2025 #3 Ashikilie hapo hapo aliposhikilia, maana ndiye Nyerere aliyebaki.
M mkulimamiwa JF-Expert Member Joined Mar 4, 2025 Posts 2,591 Reaction score 5,315 Jul 19, 2025 #4 Ni muona mbaali sana kuhusu mstakabali wa Taifa letu, halafu hana unafiki kama yule msoga
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,788 Reaction score 113,025 Jul 19, 2025 #5 Hakubaliani na haya yanayo endelea
baz kaiza JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 14,971 Reaction score 18,641 Jul 19, 2025 #6 Mzee watu hanaga makuu tumshukuru MUNGU kutuachia mzee kama huyu hana tamaa na mambo ya mali za Dunia anajua tunapita nchi kwanza
Mzee watu hanaga makuu tumshukuru MUNGU kutuachia mzee kama huyu hana tamaa na mambo ya mali za Dunia anajua tunapita nchi kwanza
Kanali_ JF-Expert Member Joined Nov 18, 2018 Posts 7,547 Reaction score 11,831 Jul 19, 2025 #7 Uzalendo wa Kitanzania said: Uzi Maalumu kumshauri Mzee Warioba. Karibuni wadau Click to expand... Hapo kwenye mzee toa, weka Jaji
Uzalendo wa Kitanzania said: Uzi Maalumu kumshauri Mzee Warioba. Karibuni wadau Click to expand... Hapo kwenye mzee toa, weka Jaji
-ArkadHill JF-Expert Member Joined Nov 1, 2023 Posts 1,669 Reaction score 2,806 Jul 19, 2025 #8 Aendelee kukataa Wahuni
L Lyagwa JF-Expert Member Joined Feb 3, 2013 Posts 1,816 Reaction score 1,152 Jul 19, 2025 #9 Aendelee hivyo hivyo kuipenda nchi yetu, anaiwazia mazuri kila wakati, bahati mbaya wahuni waliokaa kimasilahi ndani ya chama chake na sertikalini wanajiziba masikio na wengine kujidai kumpiga vijembe kila wanapopata kisemeo.
Aendelee hivyo hivyo kuipenda nchi yetu, anaiwazia mazuri kila wakati, bahati mbaya wahuni waliokaa kimasilahi ndani ya chama chake na sertikalini wanajiziba masikio na wengine kujidai kumpiga vijembe kila wanapopata kisemeo.
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 17,894 Reaction score 14,783 Jul 19, 2025 #10 Aseme hadharani
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,705 Reaction score 65,343 Jul 19, 2025 #11 Aendelee kuwabana wahuni akina Samia.