miminimama
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 696
- 1,818
Nyie mie jamani nampenda huyu baba. Nampenda sana. Kuna mda nikimuangalia tu nawashwa. Amefanyika neema na baraka sana kwenye maisha yangu.
Vipi wewe uliyenaye unampenda? Je ni baraka kwako?au bora liende. G wangu tuendelee kufaidi mema ya dunia. Mimi na wewe damu damu.
Vipi wewe uliyenaye unampenda? Je ni baraka kwako?au bora liende. G wangu tuendelee kufaidi mema ya dunia. Mimi na wewe damu damu.