Je unampenda mpenzi au mume wako?

Je unampenda mpenzi au mume wako?

MTAACHANA TU....

Hata Mimi nilikuwa hivyo na Maria wangu lakini wap......[emoji28][emoji28]
 
Elewa tu there's no constant acceleration kwenye mapenzi. Soon or late Formula ya a=V-U/t lazima ihusike tu so just keep ya head up
 
Nikimpata nitaleta mrejesho wa namna tunapendana.
 
Nyie mie jamani nampenda huyu baba. Nampenda sana. Kuna mda nikimuangalia tu nawashwa. Amefanyika neema na baraka sana kwenye maisha yangu.

Vipi wewe uliyenaye unampenda? Je ni baraka kwako?au bora liende. G wangu tuendelee kufaidi mema ya dunia. Mimi na wewe damu damu.
Hahaha
 
ni wiki ya ngapi hii toka muwe pamoja?
 
Mwaka wa tano.
Nampenda sana

Screenshot_20250124-215249_Instagram Lite.jpg
 
Back
Top Bottom