Je, unapaswa kubadili shuka mara ngapi?

Je, unapaswa kubadili shuka mara ngapi?

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Utafiti uliofanyika Uingereza Mwaka 2022 umeonesha Takriban nusu ya wanaume ambao hawajaoa walisema hawafui shuka zao hadi miezi minne hivi kwa wakati mmoja, huku 12% wakikiri kuwa wanazifua wanapokumbuka - ambapo inaweza kuchukua muda mrefu zaidi.

Wakati wanawake ambao hawajaolewa 62% wakisafisha shuka zao kila baada ya wiki mbili
 
Mm Nina miaka kumi sasa mtindo wangu wa maisha naujua mwenyewe lakin sijawah washwa kwakweli
 
Kwanza picha linaanza mimi mashuka yangu yote ni ya brown na meusi kama kaniki, hapo nikitandika moja kulibadili ni hadi tukae kikao na mizimu ya mababu zangu inikubalie, vinginevyo hilo shuka litajuta kwanini nililinunua mimi
 
Utafiti uliofanyika Uingereza Mwaka 2022 umeonesha Takriban nusu ya wanaume ambao hawajaoa walisema hawafui shuka zao hadi miezi minne hivi kwa wakati mmoja, huku 12% wakikiri kuwa wanazifua wanapokumbuka - ambapo inaweza kuchukua muda mrefu zaidi.

Wakati wanawake ambao hawajaolewa 62% wakisafisha shuka zao kila baada ya wiki mbili
Shuka isifuliwe miezi minne ??.

Tafiti uchwara, pamoja na uchafu wetu ila miezi minne ni mingi mno
 
Back
Top Bottom