Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti utafiti uliofanyika...!? Dsm kuna joto fua mashuka kila baada ya kutumiaUtafiti uliofanyika Uingereza Mwaka 2022 umeonesha Takriban nusu ya wanaume ambao hawajaoa walisema hawafui shuka zao hadi miezi minne hivi kwa wakati mmoja, huku 12% wakikiri kuwa wanazifua wanapokumbuka - ambapo inaweza kuchukua muda mrefu zaidi.
Wakati wanawake ambao hawajaolewa 62% wakisafisha shuka zao kila baada ya wiki mbili
Appreciate, usafi muhimu [emoji122]Mie kila baada ya siku 2.
Aisee.Mbna kawaida xana kubadil shuka kila baada ya wiki
Ila una vielement havieleweki wallah!!🤪Hahaaa halafu ndio maana kuna watu huwa wanahisi mimi Mwanaume, sijui hata ni kwanini wakati posts zangu nyingi zinajieleza, sema acha tuchangamshe genge tu tutafanyaje sasa [emoji3][emoji3]
Napenda sana usafii.Appreciate, usafi muhimu [emoji122]