Je, unapaswa kubadili shuka mara ngapi?

Je, unapaswa kubadili shuka mara ngapi?

Utafiti uliofanyika Uingereza Mwaka 2022 umeonesha Takriban nusu ya wanaume ambao hawajaoa walisema hawafui shuka zao hadi miezi minne hivi kwa wakati mmoja, huku 12% wakikiri kuwa wanazifua wanapokumbuka - ambapo inaweza kuchukua muda mrefu zaidi.

Wakati wanawake ambao hawajaolewa 62% wakisafisha shuka zao kila baada ya wiki mbili
Eti utafiti uliofanyika...!? Dsm kuna joto fua mashuka kila baada ya kutumia
 
Hahaaa halafu ndio maana kuna watu huwa wanahisi mimi Mwanaume, sijui hata ni kwanini wakati posts zangu nyingi zinajieleza, sema acha tuchangamshe genge tu tutafanyaje sasa [emoji3][emoji3]
Ila una vielement havieleweki wallah!!🤪
 
Back
Top Bottom