Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Mm Nina miaka kumi sasa mtindo wangu wa maisha naujua mwenyewe lakin sijawah washwa kwakweliUtafiti uliofanyika Uingereza Mwaka 2022 umeonesha Takriban nusu ya wanaume ambao hawajaoa walisema hawafui shuka zao hadi miezi minne hivi kwa wakati mmoja, huku 12% wakikiri kuwa wanazifua wanapokumbuka - ambapo inaweza kuchukua muda mrefu zaidi.
Wakati wanawake ambao hawajaolewa 62% wakisafisha shuka zao kila baada ya wiki mbili
sema kweri kijana?tukipigana lazima tubadilishe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza picha linaanza mimi mashuka yangu yote ni ya brown na meusi kama kaniki, hapo nikitandika moja kulibadili ni hadi tukae kikao na mizimu ya mababu zangu inikubalie, vinginevyo hilo shuka litajuta kwanini nililinunua mimi
Hahaaa halafu ndio maana kuna watu huwa wanahisi mimi Mwanaume, sijui hata ni kwanini wakati posts zangu nyingi zinajieleza, sema acha tuchangamshe genge tu tutafanyaje sasa [emoji3][emoji3]Jadda umenichekesha sana, umepost kama mwanaume[emoji28][emoji28][emoji28]
Shuka isifuliwe miezi minne ??.Utafiti uliofanyika Uingereza Mwaka 2022 umeonesha Takriban nusu ya wanaume ambao hawajaoa walisema hawafui shuka zao hadi miezi minne hivi kwa wakati mmoja, huku 12% wakikiri kuwa wanazifua wanapokumbuka - ambapo inaweza kuchukua muda mrefu zaidi.
Wakati wanawake ambao hawajaolewa 62% wakisafisha shuka zao kila baada ya wiki mbili