Je, unapata Changamoto kuchangia "Tone Tone" ya CHADEMA? Tumia njia nyingine hizi hapa

Je, unapata Changamoto kuchangia "Tone Tone" ya CHADEMA? Tumia njia nyingine hizi hapa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Chagua uitakayo

Screenshot_2025-03-01-21-49-12-1.png

Na nyingine hii

Screenshot_2025-03-01-21-48-28-1.png
Screenshot_2025-03-01-21-48-37-1.png

Mungu akujazie Patakapopungua, Amina
 
Manina, mmeweka na mrembo kabisa Ili mtu asifeel pain anapokwanguliwa jero au buku Yake. Sisi wengine tusio nyumbu tunataka zikae picha za walaji wakuu wenyewe kwanza ndo tutor. Namaanisha kina heche, lema na mwenzake lissu.
 
CDM kazeni BUTI wameshaanza KUPAGAWA..mara TCRA mara matukio ya ajabu ajabu kama kutekana..KOMAENI tupo nyuma yenu..na tone tone nimeshatuma na nitatuma tena na tena
Bwahabwahahahahaaa! Tuma kamanda tuma.....wapo ofisini wanaisubiri.
 
Back
Top Bottom