Je, unapata Changamoto kuchangia "Tone Tone" ya CHADEMA? Tumia njia nyingine hizi hapa

Je, unapata Changamoto kuchangia "Tone Tone" ya CHADEMA? Tumia njia nyingine hizi hapa

Manina, mmeweka na mrembo kabisa Ili mtu asifeel pain anapokwanguliwa jero au buku Yake. Sisi wengine tusio nyumbu tunataka zikae picha za walaji wakuu wenyewe kwanza ndo tutor. Namaanisha kina heche, lema na mwenzake lissu.
Unaumia ukiwa wapi mdau wa vegetables hivi unadhani kuna pain kubwa zaidi ya vegetables wanavyotufanyia na kodi zetu wanavyotapanya kwa ulaghai?
 
Nitachangia movement hii na Mungu anisaidie.
 
Nimefika mpaka mwisho ila nimekwama kwenye ddMMYYY. Mimi nimeandika 2.3.2025 bado imegoma. Mnieleze jinsi ya kuandika siku, mwezi na mwaka ili nitume tonetone yangu.
 
Unaumia ukiwa wapi mdau wa vegetables hivi unadhani kuna pain kubwa zaidi ya vegetables wanavyotufanyia na kodi zetu wanavyotapanya kwa ulaghai?
Ewe nyumbu, mi siumii chochote sababu si mmojawapo katika hao waibiwao kizembe.
 
mambo ya pesa hayo🤪🤪🤪.
kama mwamposa tu.sema nini fresh tu.kila mtu anakula kazini kwake.
 
Chadomo hoyee
Baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi, kuna mtu aliagizwa atubu akagoma kutubu.

Maamaee akazima kama kibatari cha mafuta ya taa. Hakupata hata muda WA kutoa usia kwa familia take.

Leana kuu ilimuangukia. Usicheze na wateule wa Mungu.

kufa kama kibudu ni laana kuu. Kifo cha aibu. Wengine alituacha mahabusu tunashikiliwa kwa tuhuma za kumtukana. Baada ya maombi akafa nchi imepooaaa.
 
Nimeshaweka tone langu kusaidia harakati za chama, tuchangie kwa wingi hadi majizi yaone wivu.

No reforms no election
 
kama tunachangia hata tusiowajua...kwa kusikia tu nachangia. Sitajuta kuwachangia chadema na movement zao nzuri...hata kikwete analijua hili...tutoe kwa dhumuni la kusaidia na si kukejeli bhana
 
Back
Top Bottom