Je, unapata pesa kiasi gani kwenye ekari 1 ya mchicha?

Je, unapata pesa kiasi gani kwenye ekari 1 ya mchicha?

The Spirit of Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2020
Posts
1,045
Reaction score
1,868
Wana JF amani iwe nanyi!

Naomba kuuliza, hivi kwenye ekari 1 unaweza kuvuna mchicha kiasi cha pesa ngapi?

Yaani unapata pesa kiasi gani kwenye ekari 1 ya mchicha?

Asanteni.
 
Kwaajili ya mbegu au kwaajili ya mboga?
 
Kwa dar mchicha hauuzwi hivyo kule soko kuu la mchicha tandika,Bali hufungwa fungu kubwa liuzwalo 1500-2000
Ni sawa tu hivyo basi tukijua idadi ya mafungu yenye bei ya shilingi 1500-2000 itakuwa rahisi kufahamu ni kiasi gani cha pesa mkulima anaweza kupata kwa ekari moja.
 
Nimekaa jobless sana,nataka kidogo nipambane na kilimo cha bustani,nina laki 2 kuanzia ekari 1 tu nipige kazi hiyo,naona dodoma kuna uhitaji wa mboga sana kuliko supply.
 
Back
Top Bottom