Je, unapata pesa kiasi gani kwenye ekari 1 ya mchicha?

Je, unapata pesa kiasi gani kwenye ekari 1 ya mchicha?

Nimekaa jobless sana,nataka kidogo nipambane na kilimo cha bustani,nina laki 2 kuanzia ekari 1 tu nipige kazi hiyo,naona dodoma kuna uhitaji wa mboga sana kuliko supply.
Kama ni hivyo ingia kitaa soma soko vizuri, ingia site wanazolima mchicha hapo dodoma pata dondoo kadhaa juu ya uzalishaji na changamoto. Baada ya hapo ingia mzigoni mkuu.
 
Kama ni hivyo ingia kitaa soma soko vizuri, ingia site wanazolima mchicha hapo dodoma pata dondoo kadhaa juu ya uzalishaji na changamoto. Baada ya hapo ingia mzigoni mkuu.
Haya nimeshafanya,nilisahau aina ya mchicha tu.
Ila uhitaji ni mkubwa sana,fungu 500/=.
 
Sijui kwanini Tanzania huwa pako hivi, unaweza kuona kuna uhitaji ukaulima, ukitaka kuuza unashangaa unakosa pa kuuzia
Dah kweli mkuu?,Ngoja nijaribu,nitaleta mrejesho hapa baada ya miezi miwili.
Sikutaka kulima vitu vyenye mambo magumu kama nyanya au vitunguu,ngoja niende na mchicha nione upepo baada ya miezi mitatu maximum.
 
Nimekaa jobless sana,nataka kidogo nipambane na kilimo cha bustani,nina laki 2 kuanzia ekari 1 tu nipige kazi hiyo,naona dodoma kuna uhitaji wa mboga sana kuliko supply.
Hivi ekari moja unaijua au unataniamchicha ekari moja ni mwingi sana huwezi kuuza wote
 
Chainizi tani 12 kwa heka
vitunguu majani tani 10-12 kwa heka
sasa fanya makadirio hapo
Huenda ikacheza kuanzia tani 12 kwenda juu tatizo sisi Tanzania hatuuzi kwa uzito
 
Chainizi tani 12 kwa heka
vitunguu majani tani 10-12 kwa heka
sasa fanya makadirio hapo
Huenda ikacheza kuanzia tani 12 kwenda juu tatizo sisi Tanzania hatuuzi kwa uzito
Mkuu [emoji28][emoji28][emoji28]
Muongo dunia nzima
 
Back
Top Bottom