Kama ni hivyo ingia kitaa soma soko vizuri, ingia site wanazolima mchicha hapo dodoma pata dondoo kadhaa juu ya uzalishaji na changamoto. Baada ya hapo ingia mzigoni mkuu.Nimekaa jobless sana,nataka kidogo nipambane na kilimo cha bustani,nina laki 2 kuanzia ekari 1 tu nipige kazi hiyo,naona dodoma kuna uhitaji wa mboga sana kuliko supply.
Haya nimeshafanya,nilisahau aina ya mchicha tu.Kama ni hivyo ingia kitaa soma soko vizuri, ingia site wanazolima mchicha hapo dodoma pata dondoo kadhaa juu ya uzalishaji na changamoto. Baada ya hapo ingia mzigoni mkuu.
Basi anza kazi mkuu, mchicha ni wiki tatu hadi mwezi unavunaHaya nimeshafanya,nilisahau aina ya mchicha tu.
Ila uhitaji ni mkubwa sana,fungu 500/=.
Nashukuru sana,soko la dar linaonekana ni zuri sana,ngoja nipambane dodoma hapa.Basi anza kazi mkuu, mchicha ni wiki tatu hadi mwezi unavuna
Dah kweli mkuu?,Ngoja nijaribu,nitaleta mrejesho hapa baada ya miezi miwili.Sijui kwanini Tanzania huwa pako hivi, unaweza kuona kuna uhitaji ukaulima, ukitaka kuuza unashangaa unakosa pa kuuzia
Yaani huu ukoje mkuu?Nina Ile mbegu ya mchicha mkubwa wa kuvunwa hata mwaka mzima
Au unakuta muda wa kuuza soko linavurugika. Yaani unauza Kwa hasara angalau tu upooze machunguSijui kwanini Tanzania huwa pako hivi, unaweza kuona kuna uhitaji ukaulima, ukitaka kuuza unashangaa unakosa pa kuuzia
Huu unakua sana na ni WA kijani majani yake matano tuuh ni mboga tosha,pia Nina ya mchicha bangiYaani huu ukoje mkuu?
Tena unaishia kulishia mbuzi au kuku.Sijui kwanini Tanzania huwa pako hivi, unaweza kuona kuna uhitaji ukaulima, ukitaka kuuza unashangaa unakosa pa kuuzia
Hivi ekari moja unaijua au unataniamchicha ekari moja ni mwingi sana huwezi kuuza woteNimekaa jobless sana,nataka kidogo nipambane na kilimo cha bustani,nina laki 2 kuanzia ekari 1 tu nipige kazi hiyo,naona dodoma kuna uhitaji wa mboga sana kuliko supply.
Mkuu [emoji28][emoji28][emoji28]Chainizi tani 12 kwa heka
vitunguu majani tani 10-12 kwa heka
sasa fanya makadirio hapo
Huenda ikacheza kuanzia tani 12 kwenda juu tatizo sisi Tanzania hatuuzi kwa uzito
Njoo nikupe ushuhuda uje uwaonyeshe na wenzio watakaobishaMkuu [emoji28][emoji28][emoji28]
Muongo dunia nzima