Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
Habari zenu wakulungwa.
Ukiwa kama baba,mara baada ya kupata mtoto na mkeo,ni ugumu gani huwa unaupata kuweza kushiriki tendo la ndoa na mkeo pindi mnapokuwa mnalea mtoto wa miezi 2 hadi miaka 2.
Hiki ni kipindi ambacho watoto wachanga wanahitaji muda mwingi sana kuwa na mama zao kiasi kwamba mkeo anaweza kuwa busy muda mwingi kuwa na mtoto kuliko kuwa na wewe...
Je ni ugumu gani unakumbana nao?
karibuni