Je unapenda matiti yaliyosimama? Soma Hapa

Entrepreneur

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
1,087
Reaction score
622
BIASHARA huria imezua mengi. Hali kadhalika Sayansi na Tekenolojia nayo, imeleta mengi. Katika kuwaondolea kero wanawake wenye matiti yaliyosinyaa hapa nchini, wataalamu kutoka China wameanza kutoa huduma ya kunyanyua matiti, (watoto wa mjini wanasema kuyapiga jeki) kwa kutumia mashine maalumu.

Huduma hiyo ya kusimamisha matiti yaliyolala, imeanza kutolewa katika Saluni ya Blue Palace, iliyopo nyuma ya Shule ya Mapambano, Sinza jijini Dar es Salaam. Zoezi la kusimamisha matiti huchukua wiki tatu mpaka sita, inategemea aina ya mteja na wakati mwingine juhudi zake kwa gharama ya sh. 150,000/=. Kazi kwenu wanawake wenye matiti yaliyosinyaa na mnapenda muendelee kuonekana warembo.

Source: Mwananchi, Mashine ya kuinua matiti ya wanawake yaingia nchini

Maswali?

Je unatambua kuwa kuna tiba asilia ya mimea/mitishamba?
Je unatambua kuwa kuna mbadala ukiwa nyumbani kwako?
Je zoezi hili linaweza kuwa na madhara kiafya mbele ya safari?
Je TFDA/TBS/Wizara ya Afya wamethibitisha haya?


Karibuni muungane nami katika safari hii

Updates 1
Tiba Asili ya kutumia mimea/mitishamba kwa wale flat chested

Update 2
Tiba Asili ya kutumia mimea kwa wale wenye matiti yaliyolala
Modique Breast Reduction Formula. Itaendelea

Update 3
Tiba Mbadala kwa wale wenye matiti yaliyolala ukiwa nyumbani kwako
 
Wanaume wanaume wanaume jamani mtaishia kupata katuni,wengine wanaongeza makalio kisa wanaume wanapenda wadada wenye makalio,haya sasa kwani matiti yaliyolala yana shida gani na nani kawaambia ladies yana shida?haya yakiwa madogo kelele hadi surgery ya kuongeza?jamani mateso,ushauri wangu kwa wadada mwanaume akija oh we mzuri lakini mnene usihangaike kujislim mwambie aende akatafute mwembamba oh wewe mweusi mwambia akatafute mweupe,kwa sababu unahangaika unapata mateso na on top kubwagwa,heri mimi i dont gv a damn about the way my body looks as long as im healthy
 
Mimi sioni tatizo hapo, (labda la kisayansi kama lipo) wanaume wote tunapenda wanawake wenye matiti mazuri yaliyo jaa sio ndala!
 
Mbona wahusika walipohojiwa juz Eatv walsema siyo mashne ya kucmamisha matiti ni mashne ya massage bt maalum kwa matiti tu.
 
mbona nimesikia hyo mashine imepigwa marufuku na wizara ya afya.
 
Anayekupenda lazima akupende vile ulivyo na aridhike akianza kasoro za kijinga atafute asiye na hzo kasoro,yaani unyonyesha yabaki kama yalivyo dah,hivi mbona wa2 hawana kiburi changu,i cant get low,
 

Hapo kwenye red umenifurahisha sana Mamndenyi, lakin ina maana hata mazoezi hutaki kufanya ili mwili mwako uwe kwenye shepu nzuri? Au hata mlo kamili huzingatii ili uwe na afya na muonekano mzuri?
Anyway hayo tuyaache lakin hapo unapotulaumu wanaume kunaweza kuwa na technical error kwani kuna wanawake wengine hawataki kujikubali jinsi walivyoumbwa. Wakiwaona wenzao walioajaaliwa (sijui nani kasema wao hawajajaliwa) wanatamani kuwa kama wao.
Thank God (sijui ni sahihi kushukuru), Mchina yupo, nae anawapatia ile kitu roho inataka
 
Anayekupenda lazima akupende vile ulivyo na aridhike akianza kasoro za kijinga atafute asiye na hzo kasoro,yaani unyonyesha yabaki kama yalivyo dah,hivi mbona wa2 hawana kiburi changu,i cant get low,
Alivyokupenda si yalikua yamesimama?
 
sipati picha mdada kajazia kifuani(mchina) huko kwenye makalio ndo kumevimba(mchina), itakua burdan ya macho! Mtaani tunaita dawa ya macho?
 

nakula vizur kwa raha zangu,nafanya mazoezi madogo kwa starehe just kuhakikisha im health lakini vi2ko vya sina makalio,or matiti yamelala or mi mweusi haviingii akilini,unajua mr,huyu mwanamke nani kamuambia matiti yaliyo lala si mazuri?mfano mi naona wadada waliojaliwa natural makalio na mimi nina pasi lakini hainisumbui kwa sababu wapo watu wanaopenda pasi yangu na scientifically hamna madhara ya nlivyo,kwa hyo kwa nini niache kujikubali,lakini hata humu jf ushaona mapicha ya wadada yanayowekwa na wakaka?wakaka ndio wanawapotezea confidence ladies,
 
Alivyokupenda si yalikua yamesimama?

sawa aliyenipa mimba na kunizalisha na kunipa wajibu wa kunyonyesha ni nani?au huyo mtoto anayenyonya nimnyime chakula chake?mnajisahau eh,
 
sipati picha mdada kajazia kifuani(mchina) huko kwenye makalio ndo kumevimba(mchina), itakua burdan ya macho! Mtaani tunaita dawa ya macho?
Nasikia ipo na ya kurudisha bikira. Yaan huyu mchina sijui anataka atumalizie dada/wake zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…