hahahaha! Binadamu haturidhiki entrepreneur.
Hili ni bonge la deal kikubwa ni kufanya feasibility study ya uhakika. Msanga ndio wapi(si unajua mi wa mpwapwa nchi siijui vizuri)? Kuhusu jina limetulia sana tena linauzika. Lol.
Ila ukubaliane kufanya kazi na wachina Mama. Nimeshapata wawekezaji na wataalamu waliobobea kwenye tiba asilia kutoka china tulipokuwa kwenye
Investors Roundtable iliyoandaliwa na
His Excellence President Jakaya M. Kikwete huko kwenye ofisi zetu ndogo za ubalozi.
Hata zile mbegu za hiyo mimea wao ndio wanazunguka nchi mbali mbali kuzikusanya. Sasa itabidi unitumie zile details zako zote (
kama vile, jina lako halisi, Plot no (unapoishi), jina la mtaa, namba ya sim, mwaka wa kuzaliwa) kwa kutumia ile address niliyokuPM jana, ili niweze kujaza hizi form za BRELA (Form No. 14a na 14b) na kuandaa
MEMARTS. Nimetoka BRELA asubuh hii kuonana na
E. Mahingila (CEO wao) na amenipa go ahead kuhusu lile jina "
E&H Herbs Pharmaceutical Industries". Ooh kuhusu lile swali lako, Msanga ni Pwani mama (
mbele ya kisarawe). Huko ndipo alipozaliwa
Harun Kahena (
Inspector Harun wa Bongo Fleva)
Eneo la kiwanda litakuwa Visiga (
tumepakana na Dr.Msabaha aka Bangusilo). Kwa taarifa zako (
kwa kuwa hujatembea sana) eneo hili lipo karibu na mlandizi na tumechukua heka 30. Kwa sasa upembuzi yakinifu unaendelea, na kuna vijana wa ARDHI PLAN LTD pia wanatusaidia kuformalize ili tupate
title deed tayari kwa kuchukua Mkopo mkubwa wa uwekezaji pale TIB kwa NONI.
Waambie majirani zako wa mpwapwa na mashoga zako wa JF kuwa umasikini sasa unaupungia mkono kwani umekutana na wajasiriamali wa ukweli (
very industrious people). Ooh, almanusura nisahau, ule mchango wa dola 300 kama commitment fee na dola 400 kwa ajili ya shughuli za usajili uweke kwenye hiyo bahasha yenye zile form.
Thanks Hus