Je, unapenda mwanamke wako awe na kipi kati ya hivi?

Nimekuja moto nikifikiri na tako limo. Kumbe ni dimples na mwanya - vitu ambavyo kisayansi vyote ni abnormalities.

Siku nyingine weka na tako pulizi [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 2461596
Daaah yote ni ubatili mtupu ikiwa Ke si Mke Mwema.

Vipi wale tunaoangalia injini hata kama Ke ana sura ya kibabe [emoji848][emoji4]
 
Awe na Akili ya maisha tu, hivyo n vitu vy kawaida saaan asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…