Je unasifika kwa TABIA gani mtaani kwako?

Je unasifika kwa TABIA gani mtaani kwako?

Charming, happy all the time, friendly, down to earth and very helpful. I love all my neighbours they are wonderful human beings.
 
Mtaani kwangu hakuna kuchunguzana tabia.

Wanaoniona wananijua kama mtu mweusi pekee mtaani.

Wachache walio karibu kabisa tunapeana hi hi na story kidogo kwa mbali. Kujuana sana ndiyo mwanzo wa matatizo.

Kila mtu yuko busy na kazi zake na familia yake.

How about that?
 
Sipendi ushoga a.k.a marafiki wasio na faida.....niko busy na mambo yangu.....tofauti na salamu don't expect anything from me.

So mtaani wanasemaga NAJISIKIA .....[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nacheka kimoyomoyo
 
hahahahha
 
Charming, happy all the time, friendly, down to earth and very helpful. I love all my neighbours they are wonderful human beings.
Hata hapa jukwaani unaonekana tu BAK...

Napenda tabia yako mkuu...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hata sijielewi na majirani sijui wanavyonichukulia bt mpole,napenda kuwa alone,naongea nikipata chance,sipendi usumbufu
 
Back
Top Bottom