Je, unatafuta mke? Basi usihangaike tena......


True mkuu. Mimi nafikiri moja ya kigezo cha kua mwanaume ni wewe mwenyewe kuwa na uwezo wa kumshawishi mwanamke awe mpenzi wako. Sasa mwanaume ukitongozewa it some how shoes your inabilities.
 
True mkuu. Mimi nafikiri moja ya kigezo cha kua mwanaume ni wewe mwenyewe kuwa na uwezo wa kumshawishi mwanamke awe mpenzi wako. Sasa mwanaume ukitongozewa it some how shoes your inabilities.

Labda uwe Bubu kama mimi huwezi kumwaga sera zako LOL!....hapo ndipo inabidi utongozewe vinginevyo Nomaa! 😉
 
Nasema hivi,

...bahati mbaya, mila za kikwetu mke utayemuoa ndiye atakuwa shemeji, wifi, mkwe, jirani nk. Ndiyo maana linapokuja suala la uchaguzi wa mke si vibaya kuwashirikisha wadada/ wamama wahusika ili huko mbele ya safari matatizo yasiyo ya lazima yaweze kuepukwa...

Nazungumzia haya nikiwa na experience kamili. If Only i could turn back hands of time, ningewashirikisha wadada/wamama kwenye kuchagua Mke kuliko hawa tunaokutana nao 'majiani'!... 🙂
 


Mkuu Mbu Kipenda roho!.....hujachelewa lakini kuwaomba akina mama/dada kama unataka kuongeza bi mdogo......Wengine wanapenda kuchakarika wenyewe kama kuku wa kienyeji...na wengine kama kuku wa kizungu wanapenda kutengewa kila kitu!
 
kwani ukitafutiwa ndio umeambiwa hakuna kwenda kupima?
 

Mkuu kwani siku hizi kuna watu wanaoana bila kupima afya kuona kama zina mgogolo wa gonjwa la ukimwi mimi nafikiri ilikuwa zamani,kwani hata ukitafutiwa lazima kitu cha kwanza ni kupima ngoma na kucheki kama afya iko sawa kabla ya kuanza kumenya tunda bila maganda yake, vinginevyo ukikurupuka ukasema sawa nimetafutiwa hana ngoma sawa nenda cha moto utakiona.
 

Kwa kweli hapa umeongea ukweli kabisa MBU.unajua hapa suala la kutafutiawa linatafsiriwa tofauti;kinachotokea kwenye dhana nzima ni kwamba mama/dada ndio wanaojua ni mdada gani mtaa ule au katika mazingira yale mwenye maadili halisia kabla hujatowa vigezo vyako.
Hivyo wao wakishakurudishia majibu basi kinachofuata nikufanya appointment ya wewe na yeye huyo dada kukaa nae ili umalizie ufumbuzi wako wa yale ambayo wewe unayataka kama itakuwa elimu,kazi au nini japo hivi vitu havina mahusiano ya maana halisia ya NDOA.

Kwa hiyo kama una dada yako na anaweza kukusaidia kufanya utafiti wa kitu gani wewe unataka basi usiogope kuliko kuleta mtu atakae kutenganisha na famili badala ya kuunganisha
 
Usiombe ukishatafutiwa mke then ukaja gombana na hao waliokutafutia asee kero zake ni balaaa, kila utakolosema yaani watareflect tuu na kutafutiwa mke. Utasikia "siku izi anajifanya kidume wakati mke tumemtongozea wenyewe makubwa" na tusubiri aje atuombe tukamzalishie" utajuuta kukukubaki kutafutiwa mke!
 
...VeraCity, hata mimi ningeweza rudisha nyuma miaka, ningewaomba dada zangu na kina mama ninaowajua wanisaidie kutauta mke atayenifaa... Haya mambo ya u-Girlfriend wengine wanaficha sana makucha yao bana...


nina mifano hai kama mi 3 hivi. wakaka walitafutia wake na jamaa zao wa vijijini lakini wote walipokuja town walilipuka haswaaa, utulivu 0....mmoja last week kamrudishe mkewe kijijini akapumzike kwanza.......nadhani mke/mume mtafutane wenyewe tu na kwa kumtanguliza Mola.
 


ahhhh wapi.....hao wengi wao wakiibuka hawana maelezo ni wanaibuka ki kweli kweli.......
 


mhh maisha ya ndoa yanakosa vi matatizo kweli? hata huyo wa kijijini angeuwa na vitatizo vyake tu........hapo kwingine mie nadhani nicngeolewa kabisa...
 


hao niliowafahamu waliotolewa kjjn wamebadili kabisa dhana yangu kwamba hiyo kitu bado ipo huko kjjn pia.
 


oooh yeah hapo ndipo nazungumzia kero za hao wa vjjn pia, yani bwana wacheni eti.....nimeshuhudia watatu lakini mmoja wao ndio kiboko alitafutiwa na mamake lakini sasa mama akija kwa mwanae utasema ni wake wenza...imevuruga familia kila kona...hko kjjn wazazi hawasalimiani kila mmoja akipeleka mashtaka kwao inaonekana familia nyingine haimtendei haki mtoto wao, yaani mambo ni vululu vululu....mpaka imefikia hakuna ndugu wa mke/mume kuja hapo nyumbani kwao mana kila mmoja inaonekana anatetea upande wake.....eee bwanaa ee wacheni kabisa,....mnaotaka kuoa/olewa mjitafute wenyewe yakiashinda m separate kivyenu....
 
Ni kwa nini utafutiwe mwanamke ??? wewe si mwanamme Rijari hata ujitafute mwenyewe una matatizo gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…