Je,Unatafuta mtu wa masoko kwa malipo ya commission?

John Gregory

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2019
Posts
1,137
Reaction score
2,147
Habari wakuu,

Bila kupoteza muda, Nawasilisha ombi langu la ridhaa ya kutafuta masoko na kuuza bidhaa yoyote halali kama vile ardhi,magari, au bidhaa mbalimbali kutoka kwenye kampuni,taasisi au maduka binafsi kwa makubaliano maalum ya malipo kwa commission ya asilimia kadhaa kadri tutakavyokubaliana pindi tu biashara inapokamilika ambayo tutakubaliana katika maandishi kama mkataba.

Uaminifu wangu ni wa hali ya juu na nina uzoefu katika mauzo na utafutaji wa masoko ambazo zote nitafanya kwa gharama yangu binafsi.

Kwa yeyote ambaye atakuwa tayari tuzungumze tafadhali acha comment yako hapa nitakufuata 'pm' au unaweza kuni 'pm' moja kwa moja (mniwie radhi kutokuacha namba za simu hapa kutokana na kulinda 'privacy' yangu ila tutawasiliana vizuri 'pm' ).Ahsante
 
Kazi hiyo kama unaweza nafasi ipo wazi huduma zetu ni hizo pamoja na kuandaa financial statement ,tax plan,tender preparation,
TUNAPATIKANA
NSSF AKIBA HOUSE P.O.BOX 643 SONGEA GROUND FLOOR ROOM NO.13

TUNAMFIKIAMTEJA POPOTE PALE DUNIA KIJIJI SASA
NB:OUR TERMS PAY ON DELIVERY MALIPO YA SERIKALI LIPIA MWENYEWE MTEJA YA KAZI BAADA YA KAZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…