Mtanza Mwenye Nia
Member
- Sep 10, 2013
- 76
- 21
Kwa mujibu wa sheria inayosimamia mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, rufaa ni haki ya mwombaji yeyote ambaye atakuwa hajaridhika na matokeo ya kwanza, lakini jambo la muhimu la kujiuliza kabla huja appeal ni "why u ddnt secure a loan?" and "why are u appealing"
Form ya ku-appeal (itapatikana katika web ya heslb) itakutaka wewe mwombaji useme ni kwa nini unadhani unahitaji mkopo. Itakutaka kuambatanisha document muhimu zinazonyesha kuwa hali yako ya maisha imebadilika toka kipindi unaomba mkopo, mfano labda mzaz wako amefariki hapa katikati (kutoka deadline ya maombi ya mwanzo hadi sasa). Kumbuka kuwa bodi wanazo sababu wanazozijua wao za kukunyima mkopo hivyo basi itakupasa wewe uwathibitishie kwamba kweli una uhitaj wa mkopo.
NB: usipoteze hela yako kama hauna any supporting document that shows your life status has changed and u ril need the loan, trust me utatuma na bado utakosa tena!