Je, Unataka kuanzisha kituo cha radio?

Una ndoto za kumiliki kituo cha radio?

Semina yetu ni ijumaa wiki hii kuanzia saa nane mchana katika ukumbi wa Brunei Executive Resort Ubungo, Dar es salaam.

Upo karibu na kituo cha daladala mawasiliano au simu 2000.

Ada ya ushiriki ni Tshs 25,000/ tu. Thibitisha ushiriki wako kwa namba 0768188429.
 
Unapata material haya kwa njia ya email unajisomea na unapata fursa zaidi ya kuuliza maswali na kujibiwa. Gharama nafuu kabisa: 0768188429
 
Je, umekuwa na ndoto za kuanzisha kituo cha radio?

Tumia fursa hii kutimiza ndoto zako. Mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA imetangaza masafa kwa wale wanaohitaji kuomba kuanzisha radio.

Masafa haya yametangazwa tangu tarehe 5, October 2016 na Deadline ni tarehe 18 November, 2016.


Kampuni yetu ya Broadcast Technology Limited itakuandikia documents hizi kwa ubora mkubwa. Mawasiliano: 0768188429 (Whatsapp/Call)


Maeneo yaliyotangazwa masafa na aina za leseni zitakazotolewa:-

1. Morogoro Mjini- (Commercial 1 na Non-Commercial 1)

2. Kilosa (Commercial 1)

3. Mlimba (Commercial 1)

4. Kilombero (Commercial 1)

5. Kigoma Mjini (Commercial 2, non commercial 2)

6. Kasulu (Commercial 2, non commercial 1)

7. Buhingwe (Commercial 2)

8. Uvinza (Commercial 2)

9. Kakonko (Commercial 1)

10. Kibondo (Commercial 1)

11. Geita Mjini (Commercial 2)

12. Chato (Commercial 1)

13. Bukombe (Commercial 1)

14. Nyang’wale (Commercial 1)

15. Shinyanga Mjini (Commercial 1)

16. Bariadi (Commercial 1)

17. Meatu (Commercial 1)

18. Mtwara Mjini (Commercial 2)

19. Masasi (Commercial 1, non commercial 1)

20. Nachingwea (Commercial 1)

21. Tandahimba (Commercial 1)

22. Dodoma Mjini (commercial 2, non commercial 3)

23. Kondoa (Commercial 2, non commercial 1)

24. Mpwapwa (Commercial 2)

25. Singida Mjini (Commercial 2, non commercial 2)

26. Iramba (Commercial 1, non commercial 1)

27. Manyoni (Commercial 1, non commercial 1)

28. Tanga Mjini (Commercial 1)

29. Handeni (commercial 1)

30. Kilindi (Commercial 1)

31. Mkinga (Commercial 1)

32. Sumbawanga Mjini (Commercial 2)

33. Sumbawanga Vijijini (Commercial 1)

34. Nkasi (Commercial 1)

35. Mpanda (Commercial 1)

37. Tanganyika (Commercial 1)

38. Arusha Mjini (Commercial 2, non commercial 1)

39. Karatu (Commercial 1)

40. Babati (Commercial 1)

41. Simanjiro (Commercial 1)

42. Kiteto (Commercial 1)

43. Songea Mjini (Commercial 1)

44. Nyasa (Commercial 1)

45. Tunduru (Commercial 1)

46. Njombe Mjini (Commercial 2)

47. Ludewa (Commercial 1)

48. Ludewa (Commercial 1)

49. Wanging’ombe (Commercial 1)

50. Musoma Mjini (Commercial 2)

51. Mugumu (Commercial 1)

52. Butiama (Commercial 1)

53. Rorya (Commercial 2)

54. Tarime (Commercial 1)

55. Iringa Mjini (Commercial 2)

56. Mafinga (Commercial 1, non commercial 1)

57. Mufindi (Commercial 1)

58. Tabora Mjini (Commercial 2, non commercial 2)

59. Urambo (Commercial 1)

60. Kaliua (Commercial 1)

61. sikonge (Commercial 1)

62. Nzega (Commercial 1, non commercial 1)

63. Uyui (commercial 1)

64.Bukoba Mjini (Commercial 2, non commercial 1)

65. Misenyi (Commercial 1)

66. Karagwe (Commercial 1)

67. Muleba (Commercial 1)

68. Lindi (Commercial 1)

69. Kilwa (Commercial 1)

70. Ruangwa (Commercial 1)

71. Kahama (Commercial 1)
 
Hivi wafadhili wa community radio wanapatikana wapi aisee?

Ukitulia google unaweza kupata mkuu. Zaidi ya hapo unaweza kuomba mradi wowote lakini ukaombea kuanzisha kituo cha mawasiliano mkuu.
 
pote vjijin tu mwanza wala dsm siion huko kigoma ukianzsha radio minara itaishia kunyewa na bundi
 

TCRA hutangaza mara kwa mara, awamu hii wametangaza katika maeneo haya awamu nyingine maeneo mengine. Huwa wanaangalia sehemu kubwa yenye uhitaji wa huduma pamoja na mahitaji ya wateja. Maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na TCRA moja kwa moja.
 
TCRA hutangaza mara kwa mara, awamu hii wametangaza katika maeneo haya awamu nyingine maeneo mengine. Huwa wanaangalia sehemu kubwa yenye uhitaji wa huduma pamoja na mahitaji ya wateja. Maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na TCRA moja kwa moja.
Asante mkuu,inamanisha kwamba sehemu zenye uhitaji mdogo wahiyo Huduma ndizo zimepewa masafa machache
 
Asante mkuu,inamanisha kwamba sehemu zenye uhitaji mdogo wahiyo Huduma ndizo zimepewa masafa machache

Yaani kuliko na radio nyingi ina maana huduma ipo kwa wingi, na kulipo na radio chache ina maana bado kuna uhitaji. Asante
 
Mkuu nidodosee tu itanigharimu kama kiasi gani kuanzisha.
 
Kaka habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…