Je, Unataka kujua kama Ndoa yako/Mpenzi wako ni wa kweli leo leo?

LexAid

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
1,931
Reaction score
774
Wana JF, kusisitizia hoja alietoa Ndugu Mutabuzi yesterday kuhusu ndoa na mahusiano ya sasa, Naomba kila mmoja mwenye ndoa and partner humu ajaribu zoezi la kubadilishana simu (Mobile Phones) na mpenzi wake kwa siku ya leo tu muone vichefuchefu. halafu tuweke matokeo humu jamvini. Naamini 90% or more will be shocked!
 
Mie nilimwachia mke wangu simu yangu mwezi mzima na ndoa haijavunjika. Simu siyo tatizo katika ndoa, tatizo ni matumizi ya hiyo simu. Unatakiwa uwe na limit kwenye kugawa namba zako
 
Wana JF, kusisitizia hoja alietoa Ndugu Mutabuzi yesterday kuhusu ndoa na mahusiano ya sasa, Naomba kila mmoja mwenye ndoa and partner humu ajaribu zoezi la kubadilishana simu (Mobile Phones) na mpenzi wake kwa siku ya leo tu muone vichefuchefu. halafu tuweke matokeo humu jamvini. Naamini 90% or more will be shocked!

nimefanya hivyo na nimelock simu zote siziingie wala sms kwahiyo ni kama anatembea na mche wa sabuni
 
Huko ni kutiana majaribuni!
Kwanini haya yote lakini?
 
Wana JF, kusisitizia hoja alietoa Ndugu Mutabuzi yesterday kuhusu ndoa na mahusiano ya sasa, Naomba kila mmoja mwenye ndoa and partner humu ajaribu zoezi la kubadilishana simu (Mobile Phones) na mpenzi wake kwa siku ya leo tu muone vichefuchefu. halafu tuweke matokeo humu jamvini. Naamini 90% or more will be shocked!

hii mbona sio dawa, watu wana simu zaidi ya moja, ukiamwachia simu unawahi kuwaalert mashost...
 
Ebu wenye ndoa tuendelee kuwa wavumilivu kubadilishana simu muda huu utachanganyikiwa bure
 
kubadilishana simu hakutsaidia zaidi ya yote kutabomoa familia na kusababisha watoto kuhangaika, kwa kifupi huwezi kumchunga binadamu mwenzako ni Mungu peke yake ndiye aonae SIRINI ni kuombeana msiingie majaribuni
 
Back
Top Bottom