Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Vipimo vya DNA Sio viropokaji kama mke wa jirani yako πwalugombana majirani wawili wanaume juu ya nafasi ya kupaki gari ..appartments zimejengwa kwa kubanana, wakapelekana mpaka kwa mjumbe..mjumbe akaita kikao cha wakazi wa zile appartments, na wake zao wakahudhuria, ugomvi ukawa bado mkubwa ikafikia hali wale wake zao kuingilia kati ...mwishowe ugomvi ulibadilika ukahamia kwenye mambo ya mkeo mwenyewe mala.ya anatoka na sombody xxx.. na mwanamke mwingine nae kaanza unatoka na yyy.
Ushauri: ugomvi wa wanaume ukichanganywa na wake zao unakuaga si wakaiwaida..hapo utajua siri zote hata mtoto unaedhani ni wako kumbe si wako utapata taarifa kamili. haha.
Wakati dunia inasaka amani ya moyo, Watanzania wanasaka maeneo ya kuharibu amani ya moyo pua pua kwa sauti ya TivuMnazidi wachanganya vijana ambao hawaja oa..
Hahaaaa..unatafuta vita.Mbele ya macho yako mkeo ni mtakatifu sana, hana kasoro wala dosari hata moja. Ni msafi, ana heshima, ana wajibika vyema, ni mbunifu na mburudishaji wako mzuri kitandani.
Ratiba zake zote unazijua, na simu yake haina password. Lakini wahenga walishasema, moyo wa mtu ni msitu mnene, amini usiamini, kikulacho ki nguoni mwako.
Je wataka kujua siri za mkeo?
......
..
..
....
Mwite mke wa jirani yako MALAYA. Utapewa siri zote za mkeo
Kataa Ndoasiri za mkeo
Mambo digba sowey?Ninao uwezo wakudukua mawasiliano yote ya mke wangu lakini staki kuumiza moyo wangu,nampenda sana mke wangu, Kama anamakando kando yake Mimi hayanihusu, yanini ni- kompliketi Maisha wakati Maisha yenyewe mafupi tu Ni Kama umande wa asubuhi.
Jipe Raha acha kutafuta matatizo , acha matatizo yakutafute,Sasa nikijua what next? Hakuna mkamilifu kikubwa tu atunze heshima yako! Tatizo la wanaume wengi wanapenda kujiona wanamamlaka makubwa juu ya wenza wao kuwaliko wanawake, ndo maana mnaua just because ya katundu ambako hakana maana!!
Safi tu,ulishakataa kabisa mtongozo wangu au,nipe japo kidogo Basi, hata niingize kichwa tu!!πͺπͺMambo digba sowey?
Wewe si ulinikataa ukasema una mke?Safi tu,ulishakataa kabisa mtongozo wangu au,nipe japo kidogo Basi, hata niingize kichwa tu!![emoji25][emoji25]
NWewe si ulinikat
ButWewe si ulinikataa ukasema una mke?
Nipe sasa hivi,acha habari za zamani,Ila Sina pesa za kukuhonga,si unajua Tena kazi ya ualimu,napokea laki mbili na 50 tu kwa mwezi,usije ukijua Mimi nina pesa!!πͺπͺWewe si ulinikataa ukasema una mke?
Hatari sanaSURE NIGGA NI KWELI KABISA YAAANI NGOJA NIKAKIWASHE SOON NIKIMUITA HILO JINA NAJUA LAZIMA AFUNGUKE TU KUHUSU TABIA ZA MAMA WATOTO WANGU FOR SURE