real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,299
pitia uzi wote kuna sehemu matikiti kayaelezea sanavp matikiti mkuuuuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pitia uzi wote kuna sehemu matikiti kayaelezea sanavp matikiti mkuuuuuuu
ok shukranipitia uzi wote kuna sehemu matikiti kayaelezea sana
ukiwa unamsubiria akujibu hebu jaribu kucheki page za mwisho za hii thread alishaelezea hii mambo, akija ataongezeaMkuu Kilimomaarifa.tajiri salaam sana ama baada ya salam mimi ni mzima wa afya.
Natafuta dawa ya kuulia magugu shambani (herbicides) ambayo itakuwa na uwezo wa kuua magugu kwa muda wa mwaka moja au angalau magugu yasiote kwa muda wa miezi 6.
Je, ni dawa gani nzuri?
Nipo Dar es Salaam.
ukiwa unamsubiria akujibu hebu jaribu kucheki page za mwisho za hii thread alishaelezea hii mambo, akija ataongezea
Kiongozi , sina hakika kama kuna dawa ya magugu inayoweza kufanya kazi kwa muda mrefu hivyo, na kama ipo basi lazima itakuwa na madhara makubwa sana kimazingira, maana itakuwa inapersist kwa muda mrefu ardhini, hivyo hata mimea itakayofanikiwa kumea eneo hilo itakuwa na sumu, au mifugo ikila majani hayo itadhurika sana, means hiyo dawa itakuwa na properties za Bio-Accumulation (Badala ya kupungua kiujazo/wingi yenyewe inaongezeka) na Bio Magnification (Inajiongeza nguvu kadri inavyokaa ardhini hasa ikikutana na maji na hewa). Hizo ni dawa hatari sana na ndio zinatakiwa kuwa Banned kabisa. Kwa uzoefu wangu siijui dawa ya namna hiyo. Nachojua hizo dawa inabid uwe unazipiga kwa kurudia rudia kuzipiga, kutegemea na zao unalotaka kulima etc. AU kutegemea na maandalizi yako ya shamba unalenga kufanyia nini.
Dawa yoyote ile iwe ya (Binaadamu, Mifugo, Mimea etc) inatakiwa ipungue nguvu as time goes on kadri inavyokutana na maji, au hewa, ili micro climate ya eneo hilo iwe ya kuvutia mimea mingine, au viumbe vingine kuishi hapo.
Unaweza kupitia uzi Wangu # 351, wa TAREHE 10 January 2016 UKURASA WA 18. Nilijibu swali la mdau real G. Nilieleza mengi kuhus haya madawa.
Angalia usije una hiyo miembe. Be extra careful on this regard.Mkuu Kilimomaarifa, asante sana kwa majibu yako yaliyoenda shule kali na ya uhakika. Mungu akuongezee zaidi maarifa.
Basically, mimi shamba langu lina miche ya miembe yenye umri kama wa mwaka na nusu hivi, na on average miche ina urefu wa kama 70cm.
Sasa mkuu Kazi ya kupalilia magugu mara kwa mara imenichosha, ndiyo maana nilikuwa natafuta hiyo Herbicide. Ila kwa sababu umenipa darasa zuri sana kwa Herbicides zinazofanya kazi muda mrefu kuwa kimazingira hazifai kabisa , basi nitatafuta hizo herbicides za muda mfupi.
BTW, nimepitia hiyo page 18.
Je, unaweza kunipatia mifano michache ya herbicides nzuri ili nitafute?
Angalia usije ua hiyo miembe. Be extra careful on this regard.Mkuu Kilimomaarifa, asante sana kwa majibu yako yaliyoenda shule kali na ya uhakika. Mungu akuongezee zaidi maarifa.
Basically, mimi shamba langu lina miche ya miembe yenye umri kama wa mwaka na nusu hivi, na on average miche ina urefu wa kama 70cm.
Sasa mkuu Kazi ya kupalilia magugu mara kwa mara imenichosha, ndiyo maana nilikuwa natafuta hiyo Herbicide. Ila kwa sababu umenipa darasa zuri sana kwa Herbicides zinazofanya kazi muda mrefu kuwa kimazingira hazifai kabisa , basi nitatafuta hizo herbicides za muda mfupi.
BTW, nimepitia hiyo page 18.
Je, unaweza kunipatia mifano michache ya herbicides nzuri ili nitafute?
miembe ya kisasa nini?Angalia usije ua hiyo miembe. Be extra careful on this regard.
miembe ya kisasa nini?Mkuu Kilimomaarifa, asante sana kwa majibu yako yaliyoenda shule kali na ya uhakika. Mungu akuongezee zaidi maarifa.