kilimomaarifa.tajiri
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 574
- 409
Hawezi tumia Othello top?
With a clean ♥
Asante mkuu. Vipi vitunguu una info yeyote?OTHELLO 250 WDG
ACTIVE INGREDIENT
Azoxystrobin 250g/Kg
MODE / RATE OF USE
Foliar Spray: 10g/20L
REMARKS
Systemic / Curative
ANAWEZA TUMIA , HYO DAWA NI SAWA NA WAKINA QUADRIS=AMISTAR XTRA=AMISTAR 50 WG Main Ingredient ni Azoxystrobin
OTHELLO NI JINA TU KAMA HAYO YA KINA AMISTAR EXTRA et al....
Asante mkuu. Vipi vitunguu una info yeyote?
Mkuu habari??? zile hoho nishapanda kwenye kitalu, siku ya pili sasa!!!ZIPO
KUNA PDF YAKE TAYARI IMESHAANDALIWA
Safi sana.. Vijana tushindwe wenyewe kuajiriwa. Ubarikiwe
nashukuru mkuuWanataka kufanana kidogo, ila huyo uliyemuona si mwenyewe.HUYO Mwenye madhara anaitwa Cutworm ni Catapiller ni mrefu kiasi na mwemba kidogo, demage effect yake kuu ni ya kukata miche karibu kabisa na shina/udongo.Baadhi ya picha zake ni hizi
View attachment 322213 View attachment 322214
View attachment 322215View attachment 322216
Mbolea ya samadi na mboji huwekwa miezi at least 3 kabla ya kupanda. Sidhani kama ni jambo jema kuweka na kupanda maana huwa Zina joto sana na mimea huweza kuungua. Nadhani tumia inorganic tu hizo. Halafu impact ya mboji na samadi sio za asbh papo kwa papo. Hata hivyo huwezi tegemea mimea ambayo ni heavy feeder itegemee mboji au samadi tu. Huo ndio ushauri wangu kuhusu mbolea za samadi.Mkuu Habari,baado Nahudumia Kitalu Jumapili Nitahamishia Shambani Sasa Shamba Nimekodi Na Huenda Nikalima Mara Moja Hii Tu,nimepata Samadi Ya Ng'ombe Ya Kutosha Sehemu Sasa Naomba Kujua Umuhimu Wake Kwenye Nyanya,inaongeza Mapato Kiasi Gan Na Kama Kuwekwa Inawekwaje Kwenye Mashimo Na Je Nikiweka Samadi Mbolea Zingine(DAP SA YARA MILLER NA CAN) zinawekwa? na kwa utaratibu upi? Maana Kama Nilivyosema Nategemea Kupandikiza Miche Jumapili Hii.
Mkuu Nikitaka Kupandia Dap Niweke Muda Gani? Siku 3 Kabla,2 Kabla Au Moja Kabla? Au Baada Ya Siku 7 Au Siku Hiyohiyo? Au Na Niweke Kiasi Gani?
mkuu nimenunua inaitwa multi glyphosate 480- Sl nachanganya kiasi gani kwa 20litrestareh
mkuu nimenunua inaitwa multi glyphosate 480- Sl nachanganya kiasi gani kwa 20litres
Ingekua vizuri ungetusaidia recommendation zako zaaina ya mbegu na madawa kwa nyanyaUKO SAHIHI MKUU
TENA N VIZURI TUKAJUA KATIKA KILIMO PIA KUNA UPS AND DOWN (RISK NI NYINGI) NYINGI TU, MAFURIKO, WADUDU, MAGONJWA, MBEGU FEKI, MADAWA FEKI, WIZI, HIVYO KATIKA KILA JAMBO ILI UFANIKIWE LAZIMA UKUBALI KUBEBA RISK .