Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

OTHELLO 250 WDG

ACTIVE INGREDIENT

Azoxystrobin 250g/Kg

MODE / RATE OF USE
Foliar Spray: 10g/20L

REMARKS
Systemic / Curative

ANAWEZA TUMIA , HYO DAWA NI SAWA NA WAKINA QUADRIS=AMISTAR XTRA=AMISTAR 50 WG Main Ingredient ni Azoxystrobin

OTHELLO NI JINA TU KAMA HAYO YA KINA AMISTAR EXTRA et al....

Hawezi tumia Othello top?

With a clean ♥
 
OTHELLO 250 WDG

ACTIVE INGREDIENT

Azoxystrobin 250g/Kg

MODE / RATE OF USE
Foliar Spray: 10g/20L

REMARKS
Systemic / Curative

ANAWEZA TUMIA , HYO DAWA NI SAWA NA WAKINA QUADRIS=AMISTAR XTRA=AMISTAR 50 WG Main Ingredient ni Azoxystrobin

OTHELLO NI JINA TU KAMA HAYO YA KINA AMISTAR EXTRA et al....
Asante mkuu. Vipi vitunguu una info yeyote?
 
Mkuuu hivi huyu si wale jamaa wa kwenye mbolea au ana majanga? Nimemkuta ardhini hapa shambani kwangu
 
Attachments

  • IMG-20160209-WA0014.jpg
    IMG-20160209-WA0014.jpg
    62.7 KB · Views: 90
  • IMG-20160209-WA0015.jpg
    IMG-20160209-WA0015.jpg
    41.6 KB · Views: 88
Mkuu Habari,baado Nahudumia Kitalu Jumapili Nitahamishia Shambani Sasa Shamba Nimekodi Na Huenda Nikalima Mara Moja Hii Tu,nimepata Samadi Ya Ng'ombe Ya Kutosha Sehemu Sasa Naomba Kujua Umuhimu Wake Kwenye Nyanya,inaongeza Mapato Kiasi Gan Na Kama Kuwekwa Inawekwaje Kwenye Mashimo Na Je Nikiweka Samadi Mbolea Zingine(DAP SA YARA MILLER NA CAN) zinawekwa? na kwa utaratibu upi? Maana Kama Nilivyosema Nategemea Kupandikiza Miche Jumapili Hii.
 
Mbolea ya samadi na mboji huwekwa miezi at least 3 kabla ya kupanda. Sidhani kama ni jambo jema kuweka na kupanda maana huwa Zina joto sana na mimea huweza kuungua. Nadhani tumia inorganic tu hizo. Halafu impact ya mboji na samadi sio za asbh papo kwa papo. Hata hivyo huwezi tegemea mimea ambayo ni heavy feeder itegemee mboji au samadi tu. Huo ndio ushauri wangu kuhusu mbolea za samadi.
 
Mkuu Nikitaka Kupandia Dap Niweke Muda Gani? Siku 3 Kabla,2 Kabla Au Moja Kabla? Au Baada Ya Siku 7 Au Siku Hiyohiyo? Au Na Niweke Kiasi Gani?
 
UNAWEKA SIKU HIYO HIYO YA KUPANDA MKUU, NI VYEMA UKAPIMA GRAM 100 YA MBOLEA UKAMIX NA MAJI LITA 15, THEN UKAMWAGIA MLS 250 ZA MAJI KWA KILA SHIMO THEN NDIO UKAPANDA MCHE, USIFANYE KICHUME CHAKE. MWAGIA MAJI YENYE MBOLEA KWANZA NDIPO MCHE UJE JUU, HIYO NI STARTER SOLUTION

Mkuu Nikitaka Kupandia Dap Niweke Muda Gani? Siku 3 Kabla,2 Kabla Au Moja Kabla? Au Baada Ya Siku 7 Au Siku Hiyohiyo? Au Na Niweke Kiasi Gani?
 
Hiyo ni jamii ya Pre-Emergency herbicides (Paraquat, Round up et al..) Isome tu hapo juu katika kipandiko mkuu watakuwa wameandika hiyo ratio, Mara nyingi huwa ni kati ya mls 50-200 kwa lita 20 za maji.
mkuu nimenunua inaitwa multi glyphosate 480- Sl nachanganya kiasi gani kwa 20litres
 
UKO SAHIHI MKUU

TENA N VIZURI TUKAJUA KATIKA KILIMO PIA KUNA UPS AND DOWN (RISK NI NYINGI) NYINGI TU, MAFURIKO, WADUDU, MAGONJWA, MBEGU FEKI, MADAWA FEKI, WIZI, HIVYO KATIKA KILA JAMBO ILI UFANIKIWE LAZIMA UKUBALI KUBEBA RISK .
Ingekua vizuri ungetusaidia recommendation zako zaaina ya mbegu na madawa kwa nyanya
 
@kilimotajiri.maarifa endelea kubarikiwa, hizi nondo unazoachia hapa wengine wangekuwa wanatuuzia. Godly blessings
 
Back
Top Bottom