SIJAWAHI KULIMA BAMIA ILA NIKO NA DETAILS KIDOGO
MADUKANI KUNA MBEGU NYINGI BAADHI NI HIZI ZA OPV
1. CLEMSON SPINELESS
-Hustawi maeneo ya joto na kwa maeneo ya umwagiliaji pia. Hukomaa kwa siku 80 tangu ulipopanda mbegu, huzalisha zaidi ya tani 7 kwa Eka..............Source: Kiboseed Company
2. PUSA SAWANI
-Hustawi maeneo ya joto na mvua wastani. Hukomaa kwa siku 65 tangu ulipopanda mbegu; huzalisha zaidi ya tani 8 kwa eka...Ni nzuri sana kwa masoko ya nje (Export Market). Ni imara dhidi ya Magonjwa ya Yellow vein Mosaic.Souce; Kiboseed Company
Sasa zaidi ya hapo kwa maana ya kaisi gani cha mbegu kinatosha kwa eka, kwa kweli sijui, Ila mbolea ni zile zile, za kupandia (P-Contents), Za kukuzia (N-Contents), Za kukomaza (Ca-Contents). Wadudu na Magonjwa ni kama wanaoshambulia nyanya
="mseminari mdogo, post: 15391682, member: 51952"]Mheshimiwa nipe ujuzi wa kulima bamia