Je Unataka kuwa Muisrael na kuhamia Israel?

Nikiwa mlokole hii haitoshi kama hapa kwetu tuna waaisrael wengi sana
 
Niliwahi kufikiria hili Jews kama taifa (watu) na Judaism kama dini imekuwa kama kitu kimoja, ndomana sio ajabu from nowhere utasikia na fulani kumbe myahudi!! Yani imekuwa kama imani ambayo mtu unweza kubadili na kupokelewa. Mbaya zaidi Zionism (imani chafu duniani) inahesabika kama Uisrael pia.

Lakini ndugu si rahisi kama unavyosema, Wayahudi ni wabaguzi haswa na cha kwanza wanalengwa watu weupe (caucasians) kisha wanafuata Khazarians/Ashkenazi hawa wengine wanaonekana kama mamluki tu ndomana hata Waethiopia ambao hujiita Waisrael bado hubaguliwa ndani ya nchi yao.

Ajabu ni kwamba kwanini watu wachanganye hawa na wale waliondikwa kwenye vitabu vitakatifu? Kwamba kama Mwanamarudi aliwahi kuishi Ushirombo basi hata generation yake ya 5 inaweza kwenda ushirombo na kufukuza aliowakuta na kudai ardhi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…