IPILIMO
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,819
- 801
Hello wana JF?
Kampuni yetu ya KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED, yenye ofisi zake Mbeya na D'salaam, inapenda kuwapa FURSA za UWEKEZAJI wa aina yoyote katika nyanja zozote; uzalishaji, usambazaji, huduma nk. MKOANI MBEYA. Wahusika ni watu wote wa nje ya mkoa wa Mbeya na hata wa mkoani hapa.
Malengo ya uwekezaji yanaweza kuwa:
Sisi Kampuni tutaratibu upatikanaji wa Fursa kwa kadri ya MAWAZO ya kibiashara yatakayo tolewa na mteja;
Wadau msiogope gharama katika hizi shughuli kwakuwa Ni faida kwako na kwetu pia, inaongeza ufanisi, uharaka, uhakika nk. Tunatoza ada nafuu tena kwa majadiriano hasa kwa mwekezaji aliye serious hawezi shindwa.
Wasiliana nasi kwa 0652 656565 au barua pepe: kimiconsultancy@gmail.com au tembelea Blog yetu
KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED

- kuanzisha miradi/biashara mpya
- kupanua miradi inayofanya vema sehemu zingine nk
Sisi Kampuni tutaratibu upatikanaji wa Fursa kwa kadri ya MAWAZO ya kibiashara yatakayo tolewa na mteja;
- Kutathimini mawazo ya uwekezaji mkoani Meya na kutoa ushauri chanya
- Kuratibu fursa husika kwa kadri ya uwezo wa mwekezaji
- Kutafiti maeneo (location) ya uwekezaji kwa kadri ya upatikanaji wa maeneo na Aspects zake kama gharama, ukubwa, umiliki nk
- Kuandaa documents za miradi husika kama Proposals na Business plans nk
- Kusaidia taratibu za kuwekeza baada ya kuona uwezekano
- Tutaweza pia saidia kusimamia miradi husika itakayo amriwa iwepo mbeya, mfano katika usimamizi wa rasilimali za mradi nk