Je, unataka kuwekeza Mbeya?

Je, unataka kuwekeza Mbeya?

JE UZI HUU UNAUONAJE?


  • Total voters
    3
  • Poll closed .

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
801
Hello wana JF?

Kampuni yetu ya KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED, yenye ofisi zake Mbeya na D'salaam, inapenda kuwapa FURSA za UWEKEZAJI wa aina yoyote katika nyanja zozote; uzalishaji, usambazaji, huduma nk. MKOANI MBEYA. Wahusika ni watu wote wa nje ya mkoa wa Mbeya na hata wa mkoani hapa.

Malengo ya uwekezaji yanaweza kuwa:
  • kuanzisha miradi/biashara mpya
  • kupanua miradi inayofanya vema sehemu zingine nk

Sisi Kampuni tutaratibu upatikanaji wa Fursa kwa kadri ya MAWAZO ya kibiashara yatakayo tolewa na mteja;
  • Kutathimini mawazo ya uwekezaji mkoani Meya na kutoa ushauri chanya
  • Kuratibu fursa husika kwa kadri ya uwezo wa mwekezaji
  • Kutafiti maeneo (location) ya uwekezaji kwa kadri ya upatikanaji wa maeneo na Aspects zake kama gharama, ukubwa, umiliki nk
  • Kuandaa documents za miradi husika kama Proposals na Business plans nk
  • Kusaidia taratibu za kuwekeza baada ya kuona uwezekano
  • Tutaweza pia saidia kusimamia miradi husika itakayo amriwa iwepo mbeya, mfano katika usimamizi wa rasilimali za mradi nk
HII inakwenda sambamba na wawekezaji walio nje ya Mbeya ambao wanatafuta rasilimali mradi au malighafi au bidhaa ambazo zinapatikana Mbeya: Sisi kazi yetu ni utafutaji na kuratibu upatikanaji na kukutumia/kukusafirishia.

Wadau msiogope gharama katika hizi shughuli kwakuwa Ni faida kwako na kwetu pia, inaongeza ufanisi, uharaka, uhakika nk. Tunatoza ada nafuu tena kwa majadiriano hasa kwa mwekezaji aliye serious hawezi shindwa.

Wasiliana nasi kwa 0652 656565 au barua pepe: kimiconsultancy@gmail.com au tembelea Blog yetu
KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED
 
Kwa nyongeza tu, ninaposema uwekezaji ni kwa ajili ya miradi au biashara ndogo, kati na kubwa mfano kuna mtu alitaka uwkezaji katika distribution and supply ya disposale utencils, kwakweli atafanikiwa kwa jinsi tulivo chambua wazo lake na kumkusanyia taarifa zote za msingi, amevutiwa na yuko ktk utekelezaji. Pia taasisi fulani ya fedha ilitaka kuona fursa ya uwekezaji kupanua huduma za kifedha mahali hapa Mbeya Mjini, tumefanya hadi sasa wameanza kwa namna ya tofauti na walivyo panga iwe, maana kupanua huduma kunataka uwe na viashiria chanya vya kutosha na vinatanabaisha uanze kwa scale gani!! Karibu.
 
nyie ni madalali?

hapana, ukisoma vema utaelewa vema kuhusu consultancy services zetu, nyingi zinabase katika utaalamu na ushauri katika uwekezezaji. Hata hivyo ili kufanikisha kazi zetu wakati mwingine inatubidi tushirikishe mamlaka za aina mbalimbali ili kukidhi uwekezaji husika. (sisi ni bds-business development services).
 
Kwanin msiwekeze nyie kwasababu mnaziona hizo fursa?
 
Kwanin msiwekeze nyie kwasababu mnaziona hizo fursa?

Duh Mkuu, sijui unaelewa au? sina hakika. Inawezekana kweli kama eneo lina Fursa basi sisi tuziwekeze kila moja? mbona hii nayo ni fursa na tumewekeza, Unajua maana ya BDS? JE KILA mtu hapa Tanzania ana uelewa wa fursa zilizopo Mbeya au sehemu nyingine Tanzania? ndo maana hata hapa JF pana msaada mkubwa kwakuwa watu huuliza maswali na watu wanatoa uzoefu wao.
Nadhani wewe si mwekezaji kama THREAD ilivyolenga, wenye kuelewa tayari tumekwisha wasiliana nao! Karibu wakati mwingine kama utaona kuna umuhimu.
 
Kuna haja ya kuwatafuta huko mliko,,

mko pande zipi hapa mbeya???
 
Kuna haja ya kuwatafuta huko mliko,,

mko pande zipi hapa mbeya???

kwasasa tuko mbioni kufungua ofisi maeneo around uwanja wa mpira wa sokoine, ila logistics bado hazijaisha, mara ikiwa tayari tutawajuza location yake, mara ya kwanza tulikuwa sokoni Maghorofani, karibu na Mzumbe university (Mbeya campus). Kwa Dar ofisi ipo mtaa wa Ndovu/Nyamwezi-Kariakoo. Kwa hapa Mbeya hata kama ofisi bado, shughuli tunafanya, Ulipo tunaweza kukutembelea na kujadili au Tunaweza kukutana eneo la makazi; Forest mpya, karibu na New forest corner Hotel.
 
The thread has made an investor in arusha to think to invest in mbeya, chunya district at makongorosi. Sasa nitakwenda kufanya pre-feasibility study for the project to be!

Karibu na wengine, hivo ndivyo tunavyo kwenda, mdogomdogo.!!
 
Business/Project planning is a vital strategy to every potential Investor!! and Planning involves many aspects; Here we are to work for you in this field.
Visit our blog: KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED
 
Back
Top Bottom