upupu
JF-Expert Member
- Apr 15, 2008
- 614
- 198
Habari zenu wakuu,
Leo nina maswali kwenu,
Mambo yafuatayo ukiyafanya mwanamke atakupenda:
1-MPE HELA
2-MPE HELA
3-WE MPE HELA
4-NAKWAMBIA MPE HELA
5-WE MPE HELA TUUUU.
Je, wanawake mnapenda hela kiasi hicho? Na je, wanaume tukiwa hatuna hela tutapendwa kweli?
KARIBUNI WAKUU
Mwanamke ni kumpa hela tu, hata awe mzuri vipi atakupenda, we si unamuona machache alivyompa hela "nikipata wangu" mpaka katulia, mtoto mrembo tuliii kwa bado anakula kwa mrija tu.