Mm kijana niko.Arusha sina kazi ila niko tayari kutoa ushaur au wazo la kuendesha Au kuanzisha biashara Arusha ni mji wenye fursa nyingi ila sisi maskin atuna nyenzo hivyo niko tayar kufanya biashara na mtu yeyote ataependa kuanzisha biashara au Ana mtaji lakin ajui anzie wap.kuhusu.mshara tutalipana kutokana na mzunguko na mazingira na changamoto za biashara niko tayar na
Utojuta kufanya Kazi na mm