Je, Unataka wazo au ushauri wa biashara

Je, Unataka wazo au ushauri wa biashara

olesiteti Jr

Member
Joined
Jul 6, 2016
Posts
96
Reaction score
59
Mm kijana niko.Arusha sina kazi ila niko tayari kutoa ushaur au wazo la kuendesha Au kuanzisha biashara Arusha ni mji wenye fursa nyingi ila sisi maskin atuna nyenzo hivyo niko tayar kufanya biashara na mtu yeyote ataependa kuanzisha biashara au Ana mtaji lakin ajui anzie wap.kuhusu.mshara tutalipana kutokana na mzunguko na mazingira na changamoto za biashara niko tayar na
Utojuta kufanya Kazi na mm
 
Elimu yang ni olevel.. ila natarajia kusoma SAUT unvsrty masuala ya business administration.na subir udahili ukamilike.ni masomo ya .evening class saa 11jioni had saa 2 usiku ila na uzofu katika biashara
 
kwani mchakato wa kuwatafuta vijana,kwa ajili ya kupewa hela za rais haujafika huko?
 
Back
Top Bottom