Je, unatamani siku zirudi nyuma au ziende mbele au zigande hapohapo zilipo?

mlinzi mlalafofofo

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2008
Posts
725
Reaction score
1,282
Ukizingatia hali yako ya sasa kama ungekuwa na uwezo je ungependa siku zirudi nyuma au ungetaka zisogee mbele chapu au zibaki hapohapo zilipo.

Mimi kwakweli zirudi nyuma tu kwakweli tena zirudi kwa chapu sana nirudi utotoni kabisa kule aisee mambo yameshabana sana saivi aisee.
 
Natamani siku zigande kidogo ili niendelee kula maisha kwanza...😋 plus 🍺🍻 na 🐖🐂
 

Umewaza nini bro
 
Ziendee mbele japo kunaweza kuwa kunahudhunisha au kufurahisha
 
Weee siku bora zirudi nyuma tuuu 😂😂 maana mambo ni fire nyie...

All in all kapime afya yako uijue
Upo vipi ni bure
 
Ziende mbele,
Maana mazuri Yako mbele.
 
Ebu fikiria tu ujatuma maombi kwa mungu ya kuja dunia unajikuta upo dunia....alafu anakutishia kukua, kukuchoma moto,anakukataza kula kambale, anakupa umaskini alafu anakuaambia ukitaka ela njoo uniombe kwanza ukitaka kuomba anakuambia toa pesa kama sadaka huku akijua sina kazi, anakuambia shetan ndo chanzo umaskini wako sababu alimdanganya Adam sasa mim na adam wap na wapi, mara kamtoa mwanae ili wote twende wapi sijui ni full michanganyo daah yote Tisa kumi .......Mungu yupo
 
Kuwa na amani , "Nayaweza yote katika yeye anitiae nguvu".
 
Kesi na Ugomvi ni wa kwao sijui sisi unatuhusu vipi.
 
Mi nadhani kuna siri hatujui kuhusu Mungu. Maana mimi tangu nazaliwa ni kuomba tu, ila mpaka leo HOLAAAA😄😄
 
nimecheka kwa sauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…