Je, unatumia njia gani kuweka akiba ya kipato chako?

Joined
Oct 29, 2020
Posts
78
Reaction score
108
Habari wanandugu,

Nimependa kuwashilikisha jambo, najua nitaweza kupata mawazo mazuri kutoka kwenu na ushahuri pia. Ni njia gani nzuri ambayo unatumia kuweka akiba juu ya kipato chako.

Najua kuna njia kama ya bank, kibubuu, kukopesha ,na vikoba ila nataka kujua ni njia gani ambayo nzuri ili niweza kuweka akiba juu ya kipato changu ili nipate kufikia lengo katika mwaka huu 2021.

#ukateumaskini
 
Fungua saving account na uweke makato ya juu kwa juu kila mwezi kama unapata 1m hakikisha 200,000 unaweka na kuisahau mpaka 5 years kama utakuwa na Afya njema na ajira inaendelea hii kama ni mfanyakazi.

Ila kama ni mfanyabishara hakikisha unaweka kila wiki faida kidogo pembeni na hakuna kuigusa kabisa.

Usiwekeze kwa mtu
 
Saving acc. Ni kwa benki hipi mzee na je kama mimi mshahara wangu kama haupitii benki hapo inakuaje
 
kwanza kabisa jua matumizi yako kwa week then mwezi alafu kitakacho bakia save kabla haujatumia
eg unaingiza 500k
matumizi 350k
baki 150k
save 100k
io 50k fanya ya emergency
kwenye matumizi mf kodi, chakula, voucher, nauli na mengineyo coz tumetofautiana ila ukitaka mafanikio zaidi save ili ufungue biashara let say ikifika 1M tafuta biashara ya kufanya
 
Na ndiyo aim yangu nataka mpk mwakani nifanye jambo kwa saving nitakayo ifanya. Sema sasa ishu inakuja ni njia gn nitumie kusave bank au vikoba au wap
 
Super thread

Following
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…