kagaruki gabone Member Joined Aug 26, 2013 Posts 22 Reaction score 1 Aug 30, 2013 #1 Nimechaguliwa udsm bachelor of education in psychology... hivi ina ajira au nikabadili tuu..???
F Flammable JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 872 Reaction score 103 Aug 30, 2013 #2 Naona unaweza kuwa mwalim km walimu wengne
kagaruki gabone Member Joined Aug 26, 2013 Posts 22 Reaction score 1 Aug 31, 2013 Thread starter #3 Yah nahtaji kuwa hivyo
ITEGAMATWI JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 5,340 Reaction score 4,086 Aug 31, 2013 #4 Mwalimu wa saikolojia. Nafikiri uzuri wa kozi yako ni kuwa na wigo mpana wa machagua ya kazi, tofauti na ualimu pia waweza kuwa mwanasaikolojia. Sijui lakini naona kama vipi komaa nayo tu.
Mwalimu wa saikolojia. Nafikiri uzuri wa kozi yako ni kuwa na wigo mpana wa machagua ya kazi, tofauti na ualimu pia waweza kuwa mwanasaikolojia. Sijui lakini naona kama vipi komaa nayo tu.
paul kitereja JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 260 Reaction score 45 Aug 31, 2013 #5 kagaruki gabone said: Nimechaguliwa udsm bachelor of education in psychology... hivi ina ajira au nikabadili tuu..??? Click to expand... we ndo umeshakuwa teacher tenah!
kagaruki gabone said: Nimechaguliwa udsm bachelor of education in psychology... hivi ina ajira au nikabadili tuu..??? Click to expand... we ndo umeshakuwa teacher tenah!