Je unauelewa zaidi juu ya hii kozi???

Je unauelewa zaidi juu ya hii kozi???

Joined
Aug 26, 2013
Posts
22
Reaction score
1
Nimechaguliwa udsm bachelor of education in psychology... hivi ina ajira au nikabadili tuu..???
 
Mwalimu wa saikolojia. Nafikiri uzuri wa kozi yako ni kuwa na wigo mpana wa machagua ya kazi, tofauti na ualimu pia waweza kuwa mwanasaikolojia. Sijui lakini naona kama vipi komaa nayo tu.
 
Back
Top Bottom