Je unaujua mtaala mpya wa Elimu ya Msingi?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,112
Reaction score
4,540
Kuna mdau amenipigia usiku huu ili nimpatie maoni yangu. Kwa bahati mbaya, achilia mbali kutojua masuala ya Elimu ya Msingi kwa kina, hata mtaala huo mpya sijausikia.
Ikiwa kama unajua muundo na maudhui makuu ya mtaala huo mpya wa Elimu ya Msingi, naomba utujulishe.
 
Drs la 1 na 2 watakuwa wanajifunza kusoma, kuandika na kuhesabutu na michezo +afya. Kwa sasa walikuwa wanasoma masomo yote kama madarasa mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…