BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Kumfumania Mke/ Mme wako live alivunja amri ya 6 na ukaamua ku cool inaaminika ni ushindi kwenye mtihani wa mwisho wa uvumilivu.
Ukiweza kuushinda huu mtihani basi hakuna uvumilivu utakushinda tena hapa Duniani.
Kwenye fumanizi ile moment huwa inaambatana na mambo mengi sana, kiwango cha juu kabisa cha hasira kinacho pelekea either kuua pale pale, Kujeruhi, some time kujiua, kuleta uharibifu wa mali na kadhalika.
Kuna wengi wako Magerezani kwa sababu tu walifumania na wakachukua hatua mbaya sana hasa kuua pale pale.
Kuna waliotangulia mbele za haki kwa sababu baada ya famanizi waliona hakuna haja ya kuendelea kuishi na wakaamua kujitoa uhai.
Kile kitendo inaaminika ni mtihani mgumu sana ambao ukiweza kuushinda basi umeshinda mitihani yote na ni wachache sana wanao shinda ule mtihani wengi wanahsindwa na kuishia kuchukua maamuzi magumu sana na ya hasira.