Je unauza au kukodisha Gari na umekosa wateja Tumia njia hii ni bure

Je unauza au kukodisha Gari na umekosa wateja Tumia njia hii ni bure

Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Posts
428
Reaction score
576
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza watu wengi sana wamekua wakipata ugumu Hasa linapokuja swala zima la kutafuta mnunuzi au mtu anayetaka kukodisha gari yake. sasa leo Nitakufahamisha njia rahisi sana ambayo haihitaji gharama yoyote ile.

sio kwamba hakuna wateja lahasha bali unakosa mbinu sahihi ya kuwapata wateja wako hii njia nitakayo kueleza sihitaji chochote kutoka kwako bali umakini wako na muda wako katika kusoma nakala hii fupi.

wateja wa magari wanapatikana wapi?
Tumia classified website kama magaribeipoa.com, kupatana, jiji, Facebook marketplace na jamiiforums matangazo website hizi zinakupa fursa ya wewe kuuza na kukodisha gari yako Bure bila kukutoza gharama yoyote unachotakiuwa ni kujisajili na kuanza kuweka matangazo yako.

website nayo pendelea zaidi ni magaribeipoa na facebook marketplace japo wengi hawazifahamu Tovuti hizi zinawatu wengi ambao wanahitaji kununua na kukodisha magari. hivyo basi hizo ni njia ambazo pia napendelea kuzitumia mara kwa mara ninapotaka kuuza bidhaa zangu.
 
Back
Top Bottom