Wana JF
Napenda kuwataarifu nimefanikiwa kufungua SHOWROOM ya kuuza magari pale maeneo ya Magomeni, ipo barabarani kabisa...
Kwa yeyote anayeuza gari anaeza kuni-PM tukakubaliana terms za kupark kwenye showroom....Gari zinatakiwa kuwa katika hali nzuri ili kutengeneza reputation ya showroom, napokea pia new imported vehicles on sale..
Serious dealers are welcome..