Car4Sale Je unauza Vitz, Starlet au Duet?

Car4Sale Je unauza Vitz, Starlet au Duet?

Heci

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
3,591
Reaction score
6,114
Natafuta duet, vitz au starlet, bei isizidi 4.5m.
Namba yangu ni 0787069996.
Wenye kukebehi na kubeza, sitishiki na nyie, macho yangu yamesoma kebehi nyingi Sana hapa jamvini.
Kebehi haziui, wala kuvunja moyo, nawakaribisheni
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mkuu ngao ya nini?
Focus kwenye hitaji lako.
Natafuta duet, vitz au starlet, bei isizidi 4.5m.
Namba yangu ni 0787069996.
Wenye kukebehi na kubeza, sitishiki na nyie, macho yangu yamesoma kebehi nyingi Sana hapa jamvini.
Kebehi haziui, wala kuvunja moyo, nawakaribisheni
 
Siogopi
Yani mkuu pesa yako mwenyewe ila unaogopa kebehi??

Hao wanao kukebehi wengine wapo kwa mashemeji zao..

So huwa wanafanya hivyo kuchamgamsha genge tu
Vinuka mkojo vinakaa kwa dada
 
Jose Morinho naona mzee
UMEPAKI BUS GOLINI
Wee songa hela ni yako, wote mtakutana kuweka wese filling station
 
Natafuta Land Rover 109 yenye virungu vitatu, chekundu, njano na nyeusi
 
Back
Top Bottom