Je, unawafahamu wagogo?

Je, unawafahamu wagogo?

Mgogo maarufu sana baada ya Malecela ni
MATONYA
Jina hilo maarufu limetoholewa kuwa neno rasmi la kiswahili kumaanisha Ombaomba lililokubuhu
Pia pamoja wengi wao ni wapenzi wa ccm ni maombaomba wa shahada ya uzamivu
Baada ya matonya ni Le Mutuz
 
Hapo hapo kwenye swala uchafu sio ka wagogo Ni kabila zote tu Hata huko ulaya Kuna watu Ni wachafu kwa asili ! Pia ni asili ya mtu mwenyewe hata wewe mchafu na unatabia ambazo ht jamaa zako hawazipendi za kichafu ! Acha kutuhukumu kwa uchafu ,Basi ka we msafi mbona unafua taulo au nguo unazovaaa?[emoji56][emoji56][emoji56]
 
kwa wadada tu: wanume wa kigogo wanajua kupenda sana akikupenda utapenda mwenyewe.....agwe leche Du!!!
 
Umesahau ulimbukeni wa msosi,wagogo ni wachoyo sana kwenye chakula,ukioa mwanamke anaweza kuwa anaiba chakula nyumbani na kuwapa ndugu na marafiki zake wa kigogo.
Pia wanawake wa kigogo ni waroho,walafi,wachafu,wavivu,lakini kutoa vya viunoni pia si wazembe.
 
Umesahau ulimbukeni wa msosi,wagogo ni wachoyo sana kwenye chakula,ukioa mwanamke anaweza kuwa anaiba chakula nyumbani na kuwapa ndugu na marafiki zake wa kigogo.
Pia wanawake wa kigogo ni waroho,walafi,wachafu,wavivu,lakini kutoa vya viunoni pia si wazembe.
Wanaume wa kigogo wana wivu Hatari wamapenzi yupo tayari kumnyatia mke wake kwa nyuma kuchunguza nyendo zake.....
 
mtoa mada umeamua kuja kwa style hii ili ujue wagogo wako wangapi jf?sikochimanya hamba siku monga nitya,yaya mwandiche!
 
Baada ya matonya ni Le Mutuz

le Mutuz siyo mgogo ni mnyiha wa wa zambia aliishi zaidi Nakonde upande wa zambia nai babayake tu alimtumla kule akaendelea kuishi hukohuko na mamayake hajui hata chembe cha kigogo anazungumza zaid kinyiha ambayo ni mother tung
 
Ila kinyambwa kinazungumzwa zaidi kuanzia Kigwe na vijiji vyake, Bahi na vijiji vyake ,pia Chikuyu, Manyoni (manyonyii).

Ni kweli wagogo ni maskini sana na zamani walikuwa wanaugua sana ukoma kuna kambi ya wakoma ipo Kijiji cha Sukamahela wenyewe walikuwa wanapaita nunje, ipo mpaka leo.

Kuhusu muziki wa asili wagogo wanyaugogo wanawafunika sana wanyambwa, wanyaugogo wanaimba na kucheza ni balaa, ni moto wa kuotea mbali, kuna watu kama Mchoyaa, Hukwe Zawose au ukipenda unaweza kumwita Dr. Hukwe Zawose( wajapani walimpa hadhi ya udaktari wa kupiga limba) na alikuwa mwalimu wa muziki katika chuo cha sanaa cha Bagamoyo . Kwa kukubalika kwake kupiga limba la kigogo na kucheza pamoja na wanawake zake wengine aliowa na mjapani.

Hawa niliwowataja wanapatikana maeneo ya kijiji cha Nzali pia Msanga

Katika maeneo hayo pia walipatikana waimbaji wengine wa muziki wa dansi kama Patrick Balisidya(marehemu) na nduguze akina Freedom n.k hawa wanapatikana maeneo ya kijiji cha Majeleko.
 
chitye mwandika mputi ai ili mchihong'anje che wagogo? fuzi genyu weka....hahaha nawalijenyi na modeleta sikosuma mpela ban...
 
Am teking sizi tu Hosipito. If Polisi Kam, teli him Chonya of Chilonwa. Me!
 
Back
Top Bottom